Home
»
ENTERTAINMENT
»
INTERNATIONAL NEWS
»
Video : TAZAMA PERFOMANCE YA CHRIS BROWN NA BAADHI YA WASANII KATIKA COCERT YA MOMBASA ROCKS FESTIVAL
Video : TAZAMA PERFOMANCE YA CHRIS BROWN NA BAADHI YA WASANII KATIKA COCERT YA MOMBASA ROCKS FESTIVAL
Tarehe 8 October 2016 Jumamosi ulikuwa ni usiku wa Mombasa Rocks Festival ambapo mwanamuziki Chris Brown ambaye kwa sasa anasumbua sana Marekani kwa hit songs zake kadhaa aliweza kuburudha katika usiku huo ulio shuhudiwa na watu wengi sana.
Chris Brown alitumia muda wa saa 1na dakika 10 kutumbwiza stejini bila kupumzika. Nyimbo alizoimba Msanii huyo ni pamoja na Zero, Deuces, Don’t Judge Me na Loyal.
wasani kutoka nje ya Kenya walikuwa ni Wizkidayo kutoka Nigeria, Kwa upande wa Tanzania mdada Vanessa Mdee na King Kiba waliweza kuwakisha vema kwa burudani ya kuvutia sana,
Chini ni kipande cha Video kama tukio lilivyo ripotiwa na Citizen Tv.
No comments