Home
»
CELEBRITY
»
LOCAL NEWS
»
ROSE NDAUKA ATANGAZA LEBO YAKE RASIMI YA NDAUKA MUSIC NA MSANII WA KWANZA KATIKA LEBO HIYO.
ROSE NDAUKA ATANGAZA LEBO YAKE RASIMI YA NDAUKA MUSIC NA MSANII WA KWANZA KATIKA LEBO HIYO.
Siku tatu zilizopita msanii wa maigizo Rose Ndauka alitangaza label yake mpya inayokwenda kwa jina la Ndauka Music lengo kuu ni kusaidia wasanii wa muziki wenye vipaja na kwa kuanza msanii huyo amemtambulisha msanii mpya katika anga ya Muziki wa Tanzania Casso ambaye ndiye msanii wa kwanza kuingia katika lebo hiyo, Kupitia lebo hiyo msanii Casso ameachia nyimbo yake inayokwenda kwa jina la kitonga.
Tazama Vdeo kupitia AyoTV. Hapa.......
No comments