HICHI NDICHO ALICHOSEMA ALIKIBA JUU YA TAMASHA LA MOMBASA ROCKS
Jumamosi ya tarehe 8/102016 msanii Alikiba aliweza kushea steji na Msanii kutoka marekani Chris Brown. Ila wakati akiimba live mkali huyo wa sauti Alikiba ghafla mic yake ikawa disconnected hivyo kuweka mashaka na kumfanya ahisi kama kuna michezo ilichezeka.
Basi hii hapa ni interview aliyofanya Alikiba na Radio Citzen katika kipindi cha mseto.
No comments