Followers

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » » VIDEO; TAZAMA KIPANDE CHA VIDEO DOGO JANJA AKICHANA FIESTA MOSHI.



Mwaka huu umeonekana kuwa mwaka wa mafanikio kwa msanii kutoka ngarenaro, dogo janja baada ya kimya cha mda mrefu sana rapper huyu amerudi na speed ya 4G maana ameachia ngoma mbili pamoja na remix moja ambazo zote zimefanya poa sana. kwa sasa celeb huyo anatamba na nyimbo yake ya kidebe ambayo nayo inafanya vema sana.

kama hukuweza kushuhudia perfomance ya celebrity huyo. hii ni video clip yake ikionyesha jinsi mashabiki wa moshi walivyo mpokea msanii huyo....


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

VIDEO

FASHION

Cat-5

MUSIC