OPRAH WINFRAY ASEMA KUWA KUNA EMMETT TILL MPYA KILA LEO
Mwana mama Oprah Winfray ambaye anaendesha kipindi cha Talk show marekani ambaye pia ni muigizaji. amefananisha matukio ya polisi kupiga risasi raia wasio na siraha kama njia ya kukabiliana nao hasa wa wa Marekani wenye asili ya kiafrika na matukio yaliyokuwa yakitokea miaka ya 50 na 60 ambapo wa Marekani wenye asili ya kiafrika walikuwa wakipigwa risasi.
Oprah amenena hayo tarehe 23/9/2016 alipo tembembelea "National Museum of African American History and Culture" ambapo alipata chansi ya kufahamu historia ya EMMETT TILL mvulana aliyeuawa akiwa na miaka 14 kwa sababu ya kuonyesha ishara za kimapenzi kwa mwanamke wakizungu.
No comments