Mwanariadha Usain Bolt kutoka Jamaica amezidi kung'aa katka mashindano ya olympics yanayo fanyika nchini Brazil Rio. Mwanariadha huyo amezidi kuvunja record za baadhi ya wanariadha wengine kwa kunyakua medali za dhahabu tatu zinazo kwenda kwa jina la triple triple, katika mbio za mita 100, 200 na 4oo.
ifahamike Bolt ndio mwanariadha wa kwanza katika mbio za olympic kunyakua medali tatu za dhahabu. dhumuni la Bolt ni lilikua ni kutengeneza record ya dunia kama ilivyokuwa kwa Pele, Mohammed Ali na Michael Jackson. Ambalo anaonekana kufanikisha na kuweza kujenga jina lake na Taifa la Jamaica kwa ujumla.
Kutokana na uwezo wake katika riadha watu mbali mbali wamekua wakimuita Mkimbiza upepo, Binadamu anayeongoza kwa kasi za mbio duniani, the Greatest na kadhalika.
shindano hili ndio linakua shindano la mwisho la Mwanariadha huyu katika ulingo wa riadha hivyo anastaafu akiwa na umri wa miaka 29.
No comments