Home
»
ENTERTAINMENT
»
INTERNATIONAL NEWS
»
VIDEO
»
RIHANNA APOKEA TUZO YA HESHIMA YA "Michael Jackson Video Vanguard" KATIKA MTV VMA's 2016
RIHANNA APOKEA TUZO YA HESHIMA YA "Michael Jackson Video Vanguard" KATIKA MTV VMA's 2016
Mwanamuziki RIHANNA kutoka Marekani amepoke tuzo inayokwenda kwa jina la " Michael Jackson Video Vanguard" ambayo ni tuzo ya heshima inayotelewa kwa wasanii wanao onyesha mchango mkubwa katika kukuza utamaduni wa MTV hasa sanaa za kazi za mili yao (artist's body work).
ifahamike kuwa tuzo hii sio ya kila mwaka bali ni kwa watu wachache wanaonyesha utashi wao kukuza utamaduni wa MTV, badhii ya celebs ambao walisha pewa tuzo hiii ni Justin Timberlake, Beyoncé, Kanye West na Rihanna
Hii hapa ni video clip ikimonyesha Rihanna akishukuru baada ya kupokea tuzo hiyo....
No comments