Bongo Celebrity Idris Sultan mshindi wa BBA ameingia kwenye Headlines baada ya kujiondoa katika mtandao wa instagram. Sababu kamili hazijafahamika. Wadau mbali mbali wanao mfatilia Star huyo Instagram wanadai huenda sababu ikawa ni juu ya mashabiki wa Madam Wema sepetu ambao wamekua wakimpoanda kwa ishu mbalimbali ikiwemo ya yeye kutotokea kwenye event ya Wema Sepetu. Usuku wa Vigoma iliyofanyika jumamosi 13 mwezi huu escape one
ENTERTAINMENT
GOSSIP
INTERNATIONAL NEWS
LOCAL NEWS
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
HOT BONGO RADIO
Popular Posts
-
Picha chafu za mwanamke Za Utupu zavuja na kuivunja ndoa chini ya wiki moja (Audio)
Mwanamke huyo amedai kuwa picha hizo alijipiga na mpenzi wake zamani miaka saba iliyopita wakiwa chuoni na zimekuja kusambaa ndani ya... -
JB kufungua mwaka na filamu ‘Kalambati Lobo’ baada ya kukaa kimya toka mwaka uanze
Kampuni ya Jerusalem Films inayomilikiwa na msanii wa filamu Jacob Stephen ‘JB’ baada ya kufanya poa na filamu yake ‘Chungu Cha Ta...

No comments