Followers

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » » » Hichi Ndio Alicho Kisema Idris Baada Ya Fans wa Wema Kuja Juu!!!!!



Mshindi wa BIG BROTHER AFRICA Idris Sultan    Ambaye ni mpenzi wa Muigizaji Wema sepetu amefunguka ya moyoni  baada ya shabiki wa mpennzi wake ( WEMA SEPETU) kuja juu na kusema kwa kwanini Idris sultan Hakwenda kwenye Event ya Wema sepetu
USIKU WA VIGOMA iliyofanyika jumamosi 13 mwezi huu soma hapa chini .. ujionee

Sipendi kuona watu wakiingia na kuongea kama wanajua maisha yangu na watu wangu wa karibu, makosa wakifanya wengine mnakuja kwangu mnaanza "Ndio asingefanya vile kama sio wewe kufanya hivi" mnakazana kusema eti naposti wanawake mara ooo porojo kibao. Sina freedom ya kumpost dada angu ? Kweli ? Au rafiki yangu kazindua brand mpya siwezi mpost nikampongeza ? Mnauliza kwanini sijaenda vigoma nimesema because show yangu hakuja hata moja na nimeenda show zake zote na yeye halalamiki because anajua nimesema siendi fair enough mbona hamjaongelea hilo ? I repeat nikikaa kimya is for a pure reason that its not anyones business this is my personal life kama mnaongeleaga fair basi mngefanya kuuliza kwanini mpaka am selling out hajaja. Give me a break sina maisha ya kuigiza lets have respect for each other bana. Na nimesema msiniite shemeji for one big good reason, imekua too much i am a brand na jina idris linamezwa na shem, ningejua this from the beginning nisingeruhusu mniite tangu mwanzo so msiwe kila kitu mnafikiria negative tu. Na sikua na haja ya kuandika yote haya pia 😊✌🏽️ #TusichukulianePoa
A photo posted by Idris Sultan (@idrissultan) on
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

VIDEO

FASHION

Cat-5

MUSIC