Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » » AY AJA NA HII NGOMA (EL CHAPO)


August 13 imeonekana kuwa ni siku ya shamra shamra kwa wapenzi wa Burudani maana imekua na events kadhaa ambazo zimesound sana, kwa Dar live kulikuwa na Dawati Concert huku Escape moja na kwenyewe kukiwa na event iliyobamba sana bila kusahau Semina ya Fursa kwa wa kazi wa Dodoma, at the same day wasanii kadhaa wameweza kuachia Pin kama tulivyo shuhudia kwa Fid Q.

AY mkali wa kurap kwa speed mzee wa commercial naye amefanikiwa kuachia nyimbo inayokwenda kwa jina la EL CHAPO, baada ya kutamba na Zigo remix aliyo mshirikisha DIAMOND PLATNUM miezi kadhaa iliyopita.

Tazama Video....

«
Next
Download Video; JAH PRAYZAH ft. DIAMOND - WATORA MARI
»
Previous
FID Q ATOA ZAWADI KWA MASHABIKI SIKU YA AUGUST 13.

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC