Followers

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

21 Mar 2017

BRAND NEW MUSIC VIDEO KUTOKA KWA NILLAN - NJENJE.

Msanii mpya wa Bongo fleva NILLAN ameachia ng...

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » » » Jipya kuhusu Diamond Platnumz


Siku ya jana kama ulikuwa kwenye mtandao wa Instagram na umebahatika kumfollow Diamond Platnumz tu bila kumfollow Zari basi story hii inaweza kuwa mpya sana kwako, Lakini kama pia ume mfollow Zari na huna time
ya kusoma comment pia story hii itakuwa imekupita.
Issue nzima ilikuwa kwa upande wa Zari ambapo siku ya jana alikuwa akifanya kila ajisikiacho kutoa mipasho kwa wanao muita ‘Gold digger’, Katika harakati za kupost picha ndipo alipopost picha iliyomsababisha Diamond Platnumz aanze kusema ya juu ya nyumba yao ya Afrika Kusini.
Moja kwa moja Diamond Platnumz alitupia comment kwenye moja ya picha ya Zari nakuandika “@zarithebosslady Can’t wait for the Launching of our new House in South Africa… I thing we gat to call it Tiffah’s Pallace or Tiffah’s Castle or The Embassy!!! ”
Naye Zari akarudi ku comment kwakuandika “”@diamondplatnumz can’t wait my love for the new mansion our cast. The Chibus palace“.
WhatsApp-Image-20160720
Hivi karibuni pia kulikuwa na stori ambazo zilikuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Hamisa Mobeto anataka kupindua mapenzi ya Zari kwa Diamond kwa kujiweka karibu na familia ya Diamond, lakini hakuna kitu chochote ambacho kimetokea wala kufanikiwa kutokana na Diamond na Zari kushibana kwenye mahusiano yao.
Diamond Platnumz kwa sasa amekuwa ni moja ya wasanii ambao wanazungumzwa kila kona ya Afrika baada ya kuachia video ya wimbo wake “Kidogo” ambayo iliwaleta pamoja ndugu ambao wamegombana ambao ni P Square.
«
Next
Shaa adai alirudia video ya Sawa,baada ya Chura ya Snura kufungiwa.
»
Previous
Picha chafu za mwanamke Za Utupu zavuja na kuivunja ndoa chini ya wiki moja (Audio)

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

Cat-5

MUSIC