Followers

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » AUDIO: Kesi iliyokuwa ikimkabili Lawrence Masha na wenzake yatolewa uamuzi


AyoTV


Leo July 27 2016 mahakama ya wilaya ya Mpanda imetoa uamuzi wa kesi iliyokuwa ikimkabilia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Nyamagana Mwanza Lawrence Kego Masha na washtakiwa wengi ambao ni Viongozi wa Chadema Jimbo la Nsimbo, Katavi.
Mahakama hiyo imewakuta washtakiwa kutokuwa na hatia katika makosa mawili ya kula njama ili kutenda kosa na Kuhutubia wakimbizi wakati wa uchaguzi Mkuu wa 2015 na kosa lingine la kuingia makazi ya wakimbizi bila kibali.
Akizungumza na Ayo TV na millardayo.com, wakili wa utetezi, Alberto Msando amesema……….>>>’upande wa mwendesha mashtaka umeshindwa kutoa ushahidi wowote unaonyesha kwamba washtakiwa walikutana na kupanga njama kutenda kosa pia hakuna ushahidi wowote kuonyesha kwamba washtakiwa walikamatwa wakihutubia wakimbizi.’

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

VIDEO

FASHION

Cat-5

MUSIC