ROBIN THICKE
Mahakama
imemkuta mwanamuziki Robin Thicke na hatia ya Vurugu za ndani yani Domestic
violence mara kadhaa.
Mzazi
mwenza wa Robin ambaye waliachana mwaka 2015 alifaili kesi ya kuiomba mahakama
imvue madaraka bwana Robin ya kulea mtoto kwa muda kwa kosa la unyanyasaji wa
kimwili kwa mwanae wa miaka 6 – Julian.
Kwa
amri ya Mahakama nchini humo imemtaka Robin akae yadi 100 mbali na mwanae
Julian, Paula na mama wa Paula.
Robin
Thicke ni mwanamuziki kutoka marekani na producer ambaye amefanya kazi na
wasanii kadhaa kama Christioan Aguillera, Nick Minaj, Pharell Williams, Usher,
Pink na wengine kibao.
ROBIN AKIWA NA FAMILIA YAKE AMBAYO MAHAKAMA IMEMUAMURU AKAE MBALI NAYO KWA YADI 100 SAWA MITA 91.44


No comments