Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharrif ameongoza mamia ya wanachama wa chama cha wananchi CUF katika ziara ya kuwatembelea wagonjwa na waasisi wa chama hicho ambapo amewataka wanachama wa CUF kujenga umoja na mshikamano.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments