Followers

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » JOKATE AELEZA KUHUSU KUPIGA PICHA NA JAY Z, BEYONCE NA BLUE IVY.



Jokate amezungumza kupitia interview aliyofanya na Milard Ayo.  kwamba alipata bahati ya kuonana na mastar hao katika tamasha la NBA all stars.

Jokate ameeleza kuwa haikuwa kazi rahisi kusogelea familia ya Jay z kutokana na ulinzi mkali wa star huyo ila alipata bahati ya kumuomba kupiga picha na familia yake. 
ambapo Jay Z alikataa lakini alimuambia kuwa kuna watu wameshapiga hivyo ataikuta mtandaoni.

na kama alivyo ahidiwa, Jokate alifanikiwa kukuta picha yake akiwa karibu na mastar hao.

hii hapa interview.......



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

VIDEO

FASHION

Cat-5

MUSIC