Followers

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » » HAWA NDIO WACHEZA SOKA WANAONGOZA KWA KULIPWA PESA NYINGI DUNIANI

 
 Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ndio wachezaji wa mchezo wa soka wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa sasa.

Ronaldo analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku akijikusanyia kiasi cha pauni milioni 19,kwa mwaka

 Nae Lionel Messi analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku nae akipata pauni million 19 kama Ronaldo kwa mwaka.

Wachezaji wengine wanaolipwa pesa nyingi duniani

Gareth Bale (Real Madrid) Pauni 346,000 kwa wiki, Pauni Milioni 18 kwa mwaka

Givanildo Vieira de Sousa maarufu kama Hulk (Shanghai SIPG) Pauni 317,000 kwa wiki Pauni Milioni 16.5 kwa mwaka

Paul Pogba (Manchester United) Pauni 290,000 kwa wiki Pauni Milioni 15 kwa mwaka

Neymar (Barcelona) Pauni 289,000 kwa wiki Pauni Milioni 15 kwa mwaka

Graziano Pelle (Shandong Luneng) Pauni 260,000 kwa wiki Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka

Wayne Rooney (Manchester United) Pauni 260,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka

Zlatan Ibrahimovic (Manchester United) Pauni 250,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13 kwa mwaka

Sergio Aguero (Manchester City) Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni Milioni 12.5 kwa mwaka

Yaya Toure (Manchester City) Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni Milioni 12.5 kwa mwaka
SOURCE BBC
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

VIDEO

FASHION

Cat-5

MUSIC