
MTV MAMA 2016
zilizofanyika usiku wa Jumamosi hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Raymond, Navy Kenzo na Yamoto Band
walikuwa wametajwa kuwania tuzo hizo. Lakini kwa bahati mbaya wasanii hao hawakuweza kushinda Tuzo hizo.
Hii ndio orodha ya washindi wa Tuzo za MTV MAMA 2016

















No comments