Followers

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » VIDEO; KELELE ZA MASHABIKI ZA MUUDHI JUSTIN BIEBER

 Image result for justin bieber

Jmapili ya tarehe 23/10/2016, Justin Bieber alilazimika kutupa kipaza sauti na kutoka jukwaani kwa muda alipokuwa ana pafomu huko Manchester Uwingereza, baada ya kukwazwa na kelele za kumshangilia walizokuwa wakipiga mashabiki wake.
mtandao wa TMZ unadai kuwa mwanamuziki huyo analengo kuwawabadilisha mashabiki wake waweze kusikiliza kile anachoimba na kupata meseji zake. pamoja na kusikia uwezo wake wa sauti, vitu ambavyo huwavigumu kuvisikia kutokana na kelele wanazokuwa wakipiga mashabiki wake.

inasemekana kuwa huenda akafanikiwa kuwa control mashabiki wake na kuwafanya wawe wasikilizaji wazuri kwa sababu ameweza kuwa control katika ishu yakupiga picha bila ridhaa yake.

kipande cha video kikimounesha Bieber akitupa mic na kutoka jukwaani.....


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

VIDEO

FASHION

Cat-5

MUSIC