Followers

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

» » HII NDIO ORODHA YA MASTAA WALIOFARIKI AMBAO BADO WAMEONGAZA KWA PESA NDEFU 2016 MICHAEL JACKSON AONGOZA



 Forbes wameachia orodha mpya ya mastaa waliofariki wanaoendelea kuingiza mkwanja mrefu zaidi.
Mfalme wa Pop marehem Michael Jackson ameongoza orodha hiyo akiwa na dola Million 885.
Kwa mujibu wa Forbes, sababu ya kupata mkwanja mrefu zaidi ni  kwa sababu ya uamuzi wa kuuza  nusu-sehemu ya Beatles catalog kwa Sony kwa $ 750m.
Wengine ni,

Charles Schulz – $48m

Arnold Palmer – $40m




Elvis Presley – $27m






Prince – $25m






Bob Marley -$21m






Theodor ‘Dr. Seuss’ Geisel – $20m






John Lennon – $12m






Albert Einstein – $11.5m






David Bowie – $10.5m

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

About the Author Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

Leave a Reply

MOVIE

VIDEO

FASHION

Cat-5

MUSIC