Followers

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

Label: SPORTS




Unapozungumzia boxing basi ni dhahiri huwezi acha kuzumzia wapiganaji hodari walio fanya mchezowa boxing uwe na mvuto duniani, baadhi ya wapiganaji hao ni kama vile Evander, Lenox Lewis, marehem Mohammed Ali, Bruno ambao kiuhalisia wanaweka tofauti kubwa kati ya mapambano yao na mapambano ya miaka ya siku hizi kama ya wanamasumbwi Mayweather ambao hucheza pasipo kuleta radha kama ya enzi za kina tyson.

Hapa hot bongo inakupa highlights za mike tyson.....






Ikiwa ni mwanzo wa kuanzishwa tuzo hizi ambazo zinathamani ya juu kama tuzo za BALLON D'OR.
Mwanasoka maarufu duniani CHRISTIAN RONALDO CR 7 amefanikiwa kunyakua tuzo hiyo. Wengine waliofanikiwa kunyakua tuzo hizo ni kama wafuatao ;-

  • The Best FIFA Men’s Player 2016: Cristiano Ronaldo
  • The Best FIFA Women’s Player 2016: Carli Lloyd 
  • The Best FIFA Men’s Coach 2016: Claudio Ranieri 
  • The Best FIFA Women’s Coach 2016: Silvia Neid 
 KIKOSI BORA CHA MWAKA 2016

 
 

 Waliofaniksha katka kuingia katika kikosi bora cha mwaka huku waspain wakifanikiwa kuingiza wacezaji wengi katika kikosi hicho. ligi ya Ujerumani yaingiza mmoja vivyohivyo ligi ya Italia yaingiza mmoja huku Uwingereza ikitoka kapa.

  • Goalkeeper: Manuel Neuer 
  • Defenders: Dani Alves, Gerard Pique, Sergio Ramos, Marcelo
  •  Midfielders: Luka Modric,Toni Kroos, Andres Iniesta 
  • Forwards: Lionel Messi, Luis Suarez, Cristiano Ronaldo 

MESSI ASUSIA TUZO

 Image result for messi and suarez dressed in suit

Kitendo cha Messi kususia Tuzo hizo kinatokana na Suarez kutoingizwa katika kinyang'anyiro huku Messi akiamini kuwa katka mwaka 2016 Suarez amekuwa na mafanikio mengi kimpira kwa kuongoza magoli katika ligi ya hispania, kuchukua kikombe katika ligi ya hispania na kuchikua kombe la Copa del rey huku akiwa miongoni mwa wachezaji waliopata goli nyingi UEFA mwaka 2016.






r
Image result for arsenal vs crystal palace

Kwenye list hiyo imewajumuisha wapinzani wawili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao wamekutana kwenye Forbes List wakiwa na mastaa wengine kama David Beckham, Michael Jordan, Tiger Woods na Floyd Mayweather.


Na hii ndio FULL LIST ya mastaa wa michezo wanaolipa zaidi duniani kwa mujibu wa FORBES

1. Michael Jordan (£1.35 billion) 
2. Tiger Woods (£1.31 billion)
3. Arnold Palmer (£1.07 billion)
4. Jack Nicklaus (£914 million)
5. Michael Schumacher (£794 million)
6. Kobe Bryant (£612 million)
7. Floyd Mayweather Jr. (£608 million)
8. Phil Mickelson (£604 million)
9. David Beckham (£580 million)
10. Shaquille O’Neal (£556 million)
11. Mike Tyson (£544 million)
12. Greg Norman (£540 million)
13. Lebron James (£508 million)
14. Cristiano Ronaldo (£493 million)
15. Roger Federer (£477 million)
16. Alex Rodriguez (£477 million)
17. Lionel Messi (£413 million)
18. Jeff Gordon (£409 million)
19. Oscar De La Hoya (£405 million)
20. Manny Pacquiao (£389 million)
 Oshoala alikuwa katika kiwango cha hali ya juu na kuisambaraisha ngome ya Mali

Asisat Oshoala alifunga magoli manne kwa timu yake ya Nigeria na kuanza vyema kampeni za kutetea taji lake la kombe la mataifa ya Afrika kwa upande wa kina dada.

Nigeria walifanikiwa kuwatandika wapinzani wao Mali goli 6-0 kikiwa ni kipigo cha aina yake.

Mchezaji bora kwa mashindano ya mwaka 2014 Oshoala alikuwa katika kiwango cha hali ya juu na kuisambaratisha ngome ya Mali.

Francisca Ordega anayechezea nchini Marekani na Uchechi Sunday wote walizifungia timu zao.
Katika mchezo unaofuata Nigeria watamenyana na mahasimu wao wakubwa wa ukanda wa Magharibi Ghana siku ya Jumatano.
 
 Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ndio wachezaji wa mchezo wa soka wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa sasa.

Ronaldo analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku akijikusanyia kiasi cha pauni milioni 19,kwa mwaka

 Nae Lionel Messi analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku nae akipata pauni million 19 kama Ronaldo kwa mwaka.

Wachezaji wengine wanaolipwa pesa nyingi duniani

Gareth Bale (Real Madrid) Pauni 346,000 kwa wiki, Pauni Milioni 18 kwa mwaka

Givanildo Vieira de Sousa maarufu kama Hulk (Shanghai SIPG) Pauni 317,000 kwa wiki Pauni Milioni 16.5 kwa mwaka

Paul Pogba (Manchester United) Pauni 290,000 kwa wiki Pauni Milioni 15 kwa mwaka

Neymar (Barcelona) Pauni 289,000 kwa wiki Pauni Milioni 15 kwa mwaka

Graziano Pelle (Shandong Luneng) Pauni 260,000 kwa wiki Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka

Wayne Rooney (Manchester United) Pauni 260,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka

Zlatan Ibrahimovic (Manchester United) Pauni 250,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13 kwa mwaka

Sergio Aguero (Manchester City) Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni Milioni 12.5 kwa mwaka

Yaya Toure (Manchester City) Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni Milioni 12.5 kwa mwaka
SOURCE BBC

MOVIE

VIDEO

FASHION

Cat-5

MUSIC