ENTERTAINMENT
GOSSIP
INTERNATIONAL NEWS
LOCAL NEWS
Label: MOVIE
Hii ndio Hard Target 2 (2016) ambayo itaachiwa siku za karibuni kama inavyo onekana hapo chini
Aina ya movie: Action
Muda wa movie: 103 min
Nchi :USA
Itaachiwa: 06 Sep, 2016
Director: Roel Reiné
Mastar: Rhona Mitra Robert Knepper Scott Adkins Temuera Morrison
PETE'S DRAGON : Pete anapoteana na familia yake na kuishi msituni ambako anakutana na Elliot ambaye ni dragon.Je wazazi wa Pete watafanikiwa kumpata mtoto wao?
- Director: david lowery
- Writer: david lowery , toby halbrooks , malcolm marmorstein , seton i. miller , s.s. field
- Stars: bryce dallas howard, robert redford, oakes fegley, oona laurence
- Runtime: 102 Min
- Rated: PG
- Genre: Family, Fantasy
Kwa wale wapenzi wa movie hii ni movie mpya aina ya Drama na komedi ndani yake,
WAR DOGS; Mfanyabiashara anayejihusisha na maswala ya masaji anakutana na rafiki aliyesoma naye kitambo, wawili wanaungana na kujihusisha na biashara za silaha za moto. wanatajirika kupitia biashara hiyo, dili zao zinaanza kubadilika baada ya kuanza biashara na jeshi la AFghan.
- Director: todd phillips
- Waandishi: stephen chin , todd phillips , jason smilovic , guy lawson
- Mastar: Jonah Hill, Miles Teller, Ana de Armas, J. B. Blanc, Bradley Cooper, Barry Livingston
- MUDA: 114 dakika
- Genre: Comedy, Drama, War
TAZAMA TRELA.....

Sniper: Ghost Shooter, ni movie inayohusu wataalamu wa shabaha, Brandano Backett (chad Michael Collins) na Richard Miller wanapewa jukumu la kulinda pipes zinazosafirisha gas dhidi ya Magaidi
Mahali ilipo igizwa ; USA
Imetolewa ; 02 Aug 2016
TAZAMA TRAILER...
Subscribe to:
Comments
(
Atom
)
HOT BONGO RADIO
Popular Posts
-
Picha chafu za mwanamke Za Utupu zavuja na kuivunja ndoa chini ya wiki moja (Audio)
Mwanamke huyo amedai kuwa picha hizo alijipiga na mpenzi wake zamani miaka saba iliyopita wakiwa chuoni na zimekuja kusambaa ndani ya... -
FASHION; PICHA; MAKOTI YA KITENGE KWA WANAWAKE
Kitenge ni vazi lenye asili ya kiafrica linalopendeza na kuitambulisha africa kwa ujumla. HOT BONGO 255 inakudondoshea baadhi ya st...



