ENTERTAINMENT
GOSSIP
INTERNATIONAL NEWS
LOCAL NEWS
Label: EVENT
Ayodeji (Ayo) Ibrahim Balogun, alizaliwa July 16 1990. Maarufu Kama
@wizkidayo Ni msanii wa muziki kutoka Nigeria aliye vuma kwa Nyimbo iitwayo
Holla at Your Boy ilitoka mwaka 2010 chini ya usimamizi wa Banky W.'s
Empire Mates Entertainment.
Kuna story nyingi sana unahitaji kufahamu kuhusu bwana Ayo a.k.a StarBoy, lakini Story moja kubwa zaidi ni kwamba jamaa atadondoka Mwanza#August20 kukiwasha kwenye jukwaa la#Fiesta2016.
Una maswali zaidi? Majibu yake utayapata jukwaani ila kwa sasa jibu pekee ni kwamba; #Imooooo.
Subscribe to:
Comments
(
Atom
)
HOT BONGO RADIO
Popular Posts
-
Picha chafu za mwanamke Za Utupu zavuja na kuivunja ndoa chini ya wiki moja (Audio)
Mwanamke huyo amedai kuwa picha hizo alijipiga na mpenzi wake zamani miaka saba iliyopita wakiwa chuoni na zimekuja kusambaa ndani ya... -
FASHION; PICHA; MAKOTI YA KITENGE KWA WANAWAKE
Kitenge ni vazi lenye asili ya kiafrica linalopendeza na kuitambulisha africa kwa ujumla. HOT BONGO 255 inakudondoshea baadhi ya st...
