Followers

Theme images by tomograf. Powered by Blogger.

ENTERTAINMENT

GOSSIP

INTERNATIONAL NEWS

LOCAL NEWS

Label: COMMEDY







Mchekeshaji kutoka Kenya Mr Eric Omondi amekuja na commedy yake inayo kwenda kwa jina la THE GODS ARE NOT CRAZY ambayo inataka kufanana na ile ya THE GODS MUST BE CRAZY iliyo igizwa na mkulima kutoka Namibia Nixau





KICHEKESHO; kutoka kwa mchekeshaji maarufu sana kutokanigeria. BOVI jinsi alivyo taniwa namabinti


Kama kawaida ya HOT BNGO 255 kuhakikisha unapata burudani, leo tunakuletea komedi ya mchekeshaji maarufu kutoka nchini Kenya ERICK OMONDI, ambaye amekuja na Komedi yake inayokwenda kwa jina la  JINSI YA KUA DIAMOND. ambapo ndani ameweza kuweka watu wanao fanana na macelebrity kadhaa ambao huonekana mara kwa mara na Diamond Platnumz.



Tunapozungumzi makomediani wanaofanya poa sana katika ulingo wa sanaa ya uchekeshaji basi huwezi muacha msanii kutoka Kenya PROFESSOR HAMO anayefanya show za Church Hill ambaye amekua akivunja mbavu za watu kwa ubunifu wake ambao amekua akichanganya Lugha mbili kingereza ma kiswahili.

Church Hill show imekua ikibua vipaji vya wasanii wengi kutoka Kenya wenye uwezo wa kuchekesha, imekua ikiwatangaza ndani na nje ya Kenya mpaka kufikia level ya Kimataifa mfano ni Msanii maarufu Erick Omondi ambaye alweza kufahamika kwa utashi wa uchekeshaji wake kupitia Church Hill Show.

Hii ni moja ya Shows ambazo amefanya mchekeshaji Professor Hamo.

Tazama Hapa.....



Baada ya BASATA kumfungia Nay wa Mitego kujishughulisha na Muziki Kwa Muda usiojulikana. mchekeshaji Stan Bakola ajulikanaye kama Anko yake Bwakila aja na utani huu.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

MOVIE

VIDEO

FASHION

Cat-5

MUSIC